Watanzania tunapoogopa mvua na folen barabaran kuliko ukimwi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tunapoogopa mvua na folen barabaran kuliko ukimwi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, May 18, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  ok mkuu WOS
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Pididy...usilinganishe maembe na nazi. Ugonjwa siyo sawa na mvua au foleni ya magari...na ugonjwa wa UKIMWI ni kitu kingine ambacho hatupaswi kukiwekea mzaha au kunena maneno yanayoonekana kuwadhihaki wenye UKIMWI.

  Tuchukue hili la foleni - watu hawaogopi foleni bali wanaichukia foleni kwa sababu ya kupoteza muda doing nothing but wait; wanakuwa wanaharaka kuwahi mambo fulani nk.

  Mvua, watu wanachelea kulowa na kuwa chepechepe hasa akina dada si unajua tena wanajikwatua kwa vipodozi na mapambo mbalimbali kuanzia kichwani hivyo kulowa ni mbaya.Kina baba/kaka nao hawataki kulowa kwa sababu zinazofanana na hizo..utalowaje hadi uonekane kama mwendawazimu?

  Tuje kwenye UKIMWI - katika magonjwa yaliyowahi kuwatesa wanadamu na kuwapa changamoto,UKIMWI ni kiboko yao. Hii inatokana na hulka ya binadamu alivyoumbwa kama tutaangalia njia moja ya uambukizo ambayo ni kujamiiana.Tangia mwanadamu aumbwe ... tuna mifano mingi sana inayoashiria hulka ya binadamu kwenye kitendo hicho - kuanzia enzi za manabii hadi zama zetu. Sihitaji kunukuu mifano hii mizito maana itatushtua zaidi. La msingi ni kwamba, pamoja na makatazo, hatari za wazi zilizopo, binadamu idara hiyo kashindikana.Cha kufanya ni kuendelea kuhubiri usalama wa maisha tu na siyo kulaani na kuhukumu maana unaweza kunyooshea watu vidole, halafu siku ya siku ukajikuta na wewe ni miongoni mwa wagonjwa wa UKIMWI - Swali litakuwa..IMEKUWAJE MWENZETU?
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  ok mkuu
  mada deleted
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Pole sana Mkuu.....lakini ungeiacha tukapata mawazo zaidi...
   
 5. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Siku hizi umeacha kuLogin as Pedeshee? Sory for name calling!
   
Loading...