Mume aumbuka, ampa 'kichapo' mkewe
MWANAUME mkware nchini Uturuki ameumbuka baada ya kugundua kuwa mwanamke aliyemfungia safari kwenda kumuona face to face baada ya kutongozana kwa kutumia...
Wednesday, May 26, 2010
Mshukuru Mungu
'If you have food in the refrigerator, clothes on your back, a roof overhead and a place to sleep you are richer than 75% of this world.
If you have...
Jamani naombeni msaada kuna wadogo zangu wanasumbuliwa matokeo yao pale Chuoni , wao wanasema waliambiwa wana Sup somo moja , wakafanya wakafaulu baada ya hapo wakataka kuchukua Academic...
Jana waziri katika ofisi ya rais (Bunge) aliwaambia watanzania (kupitia vyombo vya habari) kuwa mawaziri wa serikali watazunguka mikoani kueleza mafanikio ya serikali ya awamu ya nne.
Maswali...
Hi!
Ni nani hao?
Wandugu, nimekutana na wenzenu hao; picha ya mwaka 1985, enzi Mwl. Nyerere akiwa bado Mkuu wa Nchi na Serikali ya Tanzania. Jacksom Makweta akiwa waziri wa elimu ya taifa, na...
WAKATI serikali ikiweka msisitizo katika kumkomboa mtoto wa kike kielimu, mwalimu mmoja wa hapa, Deogratius Peace, juzi alifanya kitu kilichowashitua wengi, baada ya kumuoa mwanafunzi wa kidato...
Neno la leo linatoka katika kitabu Kitakatifu kilichoandikwa na nabii Yeremia 17: 5-8, nalo lasema hivi:-
5. Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa...
Nasikia milango inazidi kufunguka kuanzia j'pili hii Lula wa Ndali Mwananzela ataanzakuoneakana akiandika makala fupifupi za maoni, uchambuzi, hoja n.k kwenye Gazeti la Mwananchi Jumapili. Msikose...
Tafadhali jipatie nakala yako ya bure ya kijarida chetu hiki ambacho kinaanza kukoleza moto wa mabadiliko. Tunawashukuru wasambazaji waliojitokeza kuanzia Dar penyewe, Kagera, Mara, Mwanza na...
Waarabu ni watu waliofanya biashara ya utumwa kwa muda mrefu sana na victim wakubwa wa biashara hiyo haramu ni Waafrika! Wazungu pia walifanya biashara hiyo kwa muda mrefu. Kwa upande wa Wazungu...
Mh. Rais nadhani ni muda mwafaka wa kuwafunga gerezani wote waliohusika na mkataba tata wa TRL na ktk hili uanze na aliyekuwa waziri wa miundo mbinu bw. chenge, katibu mkuu wake, na wakurugenzi...
Taarifa zilizosikika kwenye vyombo vya habari ni kwamba marekani imeanzisha mkakati wa kuingilia mgogoro wa Uganda na Lord's Resistance Army. Watu wengi, akiwemo rais Museveni wa Uganda, wamehoji...
SERIKALI inapoteza Sh bilioni 33 kila mwezi kutokana na uchanganyaji wa mafuta ya taa na dizeli unaofanywa na madereva wa malori ya mizigo nchini.
Hayo yalisemwa jana Dar es Salaam na...
BAADHI ya wafanyabiashara katika Soko la Tandale, wameushutumu uongozi wa soko hilo kwa kushindwa kusimamia vyema usafi wa mazingira ya soko hilo, hali inayohatarisha maisha ya watumiaji wake...
Kwa muda mrefu sana nilikuwa nikifahamu kuwa the Universe is made up of
time, space, energy and matter.
Hii ilikuwa inamaana(kwangu) every thing in the universe is either energy or matter if not...
As democracy increasingly takes hold and anti-corruption campaigners become emboldened, Tanzania progressively tackles addictive corruption and fosters accountability as part of its new economic...
Hivi karibuni niliulizwa na mtu (Mtanzania) hivi Watanzania waliohamia nchi za nje na kuchukua uraia wa nchi hizo wanazipenda kweli nchi wanazoishi kama wanavyoipenda Tanzania? Je, wanaposikia...
NImesoma magazeti na kuangalia luninga za nyumbani na mara kwa mara wameanza au wamepania kumtambulisha Kikwete kwa cheo cha Udaktari wa Heshima. Nikajiuiliza kama wanafanya hivyo kwa sababu yeye...
Waungwana salamu
Jamani nakwazika miye, Eti Kiti Moto ni ruksaaaaaaaaaaa na kama ni ruksaaa ni kwa dini zote? Nasika waislamu hawali lakini nawaonaga kitaa wakijipiga na ze kitis. Wakristu wao...