Nauliza hiviiiiiiii Kiti Moto ni....

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Waungwana salamu
Jamani nakwazika miye, Eti Kiti Moto ni ruksaaaaaaaaaaa na kama ni ruksaaa ni kwa dini zote? Nasika waislamu hawali lakini nawaonaga kitaa wakijipiga na ze kitis. Wakristu wao wanakulaga tena bila kificho. Je huyu jamaa ni kweli ruksa?
 
Yaelekea hamna ajuae ukweli wa kiti moto uhalali na uharamu wake!
 
Waungwana salamu
Jamani nakwazika miye, Eti Kiti Moto ni ruksaaaaaaaaaaa na kama ni ruksaaa ni kwa dini zote? Nasika waislamu hawali lakini nawaonaga kitaa wakijipiga na ze kitis. Wakristu wao wanakulaga tena bila kificho. Je huyu jamaa ni kweli ruksa?

Mzee unauliza Pingu polisi?
Au unauliza ukoko kwa mama Ntilie?
 
Waungwana salamu
Jamani nakwazika miye, Eti Kiti Moto ni ruksaaaaaaaaaaa na kama ni ruksaaa ni kwa dini zote? Nasika waislamu hawali lakini nawaonaga kitaa wakijipiga na ze kitis. Wakristu wao wanakulaga tena bila kificho. Je huyu jamaa ni kweli ruksa?

Ruksa sana tu!We kama inaelewana na wewe jichanganye....mwache jirani akose utamu!
 
Basi watu waache unafiki eti kiti moto kharam. Ila mimi sijawahi kula hata siku moja. Sio kwamba mi msilamu hapana ila sina mzuka nayo tu. Kinachonishangaza jamaa zetu wanajificha wakila hii kitu.
 
Duu yaani naona hapa mnataka kutushusha udenda watu na hii weekend iliyoanza duuu wacha nikiwahi ktmt murua na laga 4 brdiiiii fasta mchana upite shwari
 
Waungwana salamu
Jamani nakwazika miye, Eti Kiti Moto ni ruksaaaaaaaaaaa na kama ni ruksaaa ni kwa dini zote? Nasika waislamu hawali lakini nawaonaga kitaa wakijipiga na ze kitis. Wakristu wao wanakulaga tena bila kificho. Je huyu jamaa ni kweli ruksa?
Torah Leviticus 11:7 . And the pig, because it has a cloven hoof that is completely split, but will not regurgitate its cud; it is unclean for you.
 
Kwa Baadhi ya Imani imekatazwa ila kwa Baadhi ya Imani Haina Tatizo Kitimoto unless inakuletea allergy
 
Torah Leviticus 11:7 . And the pig, because it has a cloven hoof that is completely split, but will not regurgitate its cud; it is unclean for you.

Na nyama ya ngamia jee? Wamanga si mnakula na kunywa maziwa wakati imekatazwa kwenye msahafu?
 
dah sijala kitimoto wiki mbili,shukrani jamiiforum kwa kuniletea ba-hamu kuba saana
 
hiyo ruksa mmiku yani hapa ushanitamanisha naona jpili mbali ss kwann umeleta hoja hii
 
Torah Leviticus 11:7 . And the pig, because it has a cloven hoof that is completely split, but will not regurgitate its cud; it is unclean for you.

Very old testament.....we follow the new one.....bring a verse from there man
 
Unauliza ni aya gani kwani ile uliyobandika hapo juu umeitoa wapi? Wewe si Mtaalam wa misahafu?
hakuna cha misaafu, wala nini, kuna watu hudhani kitimoto ni dhambi kubwa kuliko uchawi, uganga, kupiga ramli, uwongo, uuaji , ufiraji nk.
mimi nakula nao pale B Bar, nimewazoea, huwa tunagonga kama kawa.
daaah , waache nitoke nikajidunge huyu mdudu.
 
Tatizo la pale B bar hawapo shap alafu mapishi yao sio mazuri na ule mzani wao haupimi vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom