Lulawanzela kuanza kuandikia Mwananchi Jumapili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lulawanzela kuanza kuandikia Mwananchi Jumapili!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzee Mwanakijiji, May 28, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  May 28, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Nasikia milango inazidi kufunguka kuanzia j'pili hii Lula wa Ndali Mwananzela ataanzakuoneakana akiandika makala fupifupi za maoni, uchambuzi, hoja n.k kwenye Gazeti la Mwananchi Jumapili. Msikose

  Habari ndiyo hiyo!!
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  May 28, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  angalau akaungane na kina Semtawa , Mabala na wengine kuendelea kutujuza na kutufungua macho kwa hiki na kile ktk harakati za ujenzi wa Taifa, ila nikinunua gazeti la Mwannchi Jumapili nahisi kumkosa sana Prof Leonard Shayo, mwalimu wangu wa Maths pale UDSM , Rest In Peace.
   
 3. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Mzee kuna tetesi kuwa Lula wa Ndali Mwananzela (anayetoa makala kweney gazeti a raia mwema) na mwanakijiji (anayetoa makala gazeti la mwanahalisi) ni mtu yuleyule. Kuna ukweli wowote mkuu au ni story za vijiweni tu. All in all makala za Lula na mwanakijiji huwa nazikubali.
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  What if Lula= MMKJ?Haahaaa, this is just what I think. But all in all, both convince me with their writings.
   
 5. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #5
  May 29, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  mimi naona wewe ndio umetuletea tetesi acha nami nianze kufuatilia hizo tetesi, lakini MKJ YUPO , KWANINI ASIJIBU nakutuondolea blah blah za hisia
   
 6. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hamna ubaya mzee.tetesi hiyo ilishawahi kufananishwa sana na jamaa mmoja anayejiita kisisina wa zimbabwe kwenye gazeti la tanzania daima.bado sioni ubaya,tabu ni nini?news ni news tu,au vipi bob ndahani
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Is it?
   
 8. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ..Mwananchi Jumapili hii?? Hamna....:frown:
   
 9. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #9
  May 31, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  ambacho mimi najua, watu hasa WaTz tunatabia ya kuingia kwenye mapenzi na waandika makala, si jambo baya. watu hawasomi makala zingine zenye majina ya watu wasio maarufu, mfano wakati Zitto Kabwe anatumia ID yake hiyo, kila post ilikua inachangiwa na mamia ya wachangiaji, lakini kuna ID anatumia sasa , hata akipost hoja nzito wachangiaji siwengi, Lula awe MKJJ ama nani swala ni nini Lula anaandika, swala kuna mantiki katika yale anayoaandika ama laah, tusijibane sana katika kusoma machapisho ya watu walewale, miaka nenda rudi.
   
 10. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #10
  May 31, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  hahaa Hujalisoma wewe.
   
 11. Companero

  Companero Platinum Member

  #11
  May 31, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hongera sana Mwanakijiji, nasikia Mwananchi linaongoza kwa kusomwa Tanzania!
   
 12. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...teh teh. Sorry. Mamaa alichukua ukurasa wa ndani akawa anasoma jikoni wakati anaanda maankuli! Imo (..and I am blushing!!)
   
Loading...