Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,411
Hi!
Ni nani hao?
Wandugu, nimekutana na wenzenu hao; picha ya mwaka 1985, enzi Mwl. Nyerere akiwa bado Mkuu wa Nchi na Serikali ya Tanzania. Jacksom Makweta akiwa waziri wa elimu ya taifa, na Nalaila Kiula akiwa waziri mdogo wa elimu. Hussein Mwinyi alikuwa kidato cha 5 Mazengo High School akisoma mkondo wa PGM.