Ndugu wapenzi wana JF, leo napenda tujadili suala la Mkapa na Kikwete katika awamu zao.
Binafsi huwa nakaa na kujiuliza hivi ni kitu gani ambacho Kikwete amekaa ikulu na kukifanya, nakosa jibu...
Kumekuwepo na malalamiko kuwa Nyuki (Honey bees) wamekuwa wanapungua kwa kasi. Wanasayansi, wamegundua kuwa mionzi ya simu ya mkononi ni moja ya sababu kubwa ya kuingilia mawasiliano ya nyuki hasa...
Mwaka jana tulipata usumbufu sana baada ya mabenki kuto funguliwa kutokana na hii siku yao ya kufanya mahesabu yao ya mwaka.
Tujihadhari, hamna taarifa rasmi zenye kutuelekeza tufanye nini.
Wenye...
The Minister of State, Foreign and Commonwealth Office (Lord Malloch-Brown): My right honourable friend the Secretary of State for Foreign and Commonwealth Affairs (David Miliband) has made the...
Nimetumiwa text msg kuwa kuna ndege imeanguka punde na kugonga gari eneo la segera na barabara imefungwa. Wadau mnaombwa kufuatilia news hii
======
UPDATE:
It's confirmed, ndege imeanguka eneo...
Habari wadau wa JF, naomba kufahamu ukweli juu ya kifo cha huyu jamaa aliyechota mabilion ya shilingi pale BoT, Mheshimiwa sana Balali hivi ni kweli alifariki au ni danganya toto? Nimediriki...
Kutoka kwa Michuzi.
HABARI ZIMETUFIKIA SASA HIVI ZINASEMA KUNA AJALI YA MAJINI IMETOKEA KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM KARIBU NA FERI AMBAPO INASEMEKANA BOTI YA ABIRIA IENDAYO KASI IMEGONGA...
Meno ya Tembo yakiwa yamehifadhiwa
Na mwandishi wetu, DodomaMAZUNGUMZO ya kidiplomasia kati ya Tanzania na nchi jirani za Kenya na Uganda yamefanyika, ili kuzifanya nchi hizo zisiweke...
80bn/- contract hangs in balance
By ThisDay Reporter
22nd June 2010
GOVERNMENT OFFICIALS ACCUSED OF DELIBERATELY STALLING
MAJOR ROAD CONSTRUCTION PROJECT IN FAVOUR OF KICKBACKS...
An article in a magazine for new mothers that described breastfeeding as "creepy" has drawn widespread criticism. Mother & Baby Magazine's deputy editor Kathryn Blundell said she bottle fed...
Maonesho ya kimataifa ya Dar, sabasaba 2010 yanategemewa kufunguliwa tarehe 28 Juni 2010. Nimekuwa na kawaida ya kutembelea maonesho hayo huko nyuma lakini nakatishwa tamaa na baadhi ya bidhaa...
Mbona halina mvuto wa kuliangalia ...??
Hivi Hawa wabunge huwa wanaangalia mabunge ya wenzao nianze karibu hapo Kenya
Kenya unaangalia Bunge lina changamoto ..linaleta hisia ya kuangalia muswada...
Habari wana JF!
Jamani wananikera wale watu ambao wakiona ndugu yao amefariki ndio wanajitia kiherehere cha haraka kuanza kuanza kufuatilia mali za ndugu yao huku wakijua ameacha familia yaani...
Nchi ya Zanzibar huenda ikafutika kwenye uso wa Dunia kama nchi iliyoungana na Tanganyika na kubaki kama mikoa ya Tanzania. Hii ni kwa sababu jina linalotakiwa kuzitambulisha nchi mbili...