Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna rafiki yangu ameniambia eti ukinunua gari Zanzibar ukija Dar unalipia ushuru, nimembishia sana hakuishia hapo tu, akasema hata TV, Fridge,Radio zote utalipia ushuru, sasa najiuliza nini maana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF na wapenda maendeleo, jana (April 25, 2011) nilikuwa Kimanzichana (Wilaya ya Mukuranga) na nilipanda Hiace moja inayoitwa BABYLON T 932 BHE (mali ya Othman M Hassan PO Box 273...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakati wa uteuzi wa mgombea kiti cha uspika ndani ya CCM mbiu ilikuwa ni wakati mwafaka kwa mwanamke kushika moja ya mihimili ya dola,ndipo tuliposhuhudia Ndugu Samwel Sita akienguliwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
SIMANZI imetawala kwa wazazi na uongozi wa Shule ya Awali iitwayo Nia baada ya kupoteza watoto wanne kufa papohapo baada ya kuangukiwa na ukuta wakati wakiwa michezoni Shule hiyo ya awali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ktk hali isiyo yakawaida mtoto wababu Ambilikile amekufa je tuseme ndio majibu ya maombi ya watu wa Mungu?! Je waathirika watakuwaje maana kikombe mpaka May muda uco julikana! Source TBC1
0 Reactions
56 Replies
5K Views
MTOTO Lawrence Gervas [4] amefariki dunia baada ya kumaliza kutafuna muhugo mbichi unaosadikiwa kuwa na sumu na watu wengine wawili kuugua kutokana na kutafuna mihogo hiyo. Akitoa taarifa hiyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hizi sikukuu za kitaifa inabidi ziwe zinaelimishwa kwa jamii. Nafikiria hivi kwa vile jamii kubwa ya watanzania haifahamu umuhimu wa kuadhimisha baadhi ya sikukuu. Hivyo inaonekana wenye kuguswa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Imenichukua siku kadhaa sasa ku-download faili lenye ukubwa wa 735mb kupitia torrents na nimetumia zile zinazodaiwa kuwa ni 'broadband;' yaani Zantel na TTCL na kwa kweli nimelazimika kujaribu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika Bunge lilopita tuliweza kushuhudia Waziri Mkuu akikalishwa chini Mara 3 Na spika wa Bunge A.Makinda!Pale walipotakiwa kupiga kura ya ndiyo Baada ya Zitto Kabwe kumwambia spika kuwa kauli...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wananchi wa Zanzibar wamekuwa wakiichukua Dar es Salaam-Tanzania kuwa ni nchi ya nje. Katika mahakama mara kadha kesi uahirishwa itokeapo shahidi, mshitaki au mshitakiwa asipohudhuria mahakamani...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Hayo ndio maoni ya mbunge Anna Komu.amesisitiza ni maoni yake na sio ya wazanzibari. Source:mahojiano na TBC.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimeona ni vema leo kuuliza maana hili jambo lanikereketa sana. Hii barabara imemalizika kujengwa mwaka 2008, lakini leo ukiitazama imechakaa vibaya mno. Eneo la Mivinjeni usipokuwa mwangalifu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Miezi ya mwishoni mwa mwaka 2010 kampuni ya simu za mkoni ya vodacom ilianzisha huduma ya kupiga simu voda kwenda voda kwa nusu shilingi kwa sekunde katika mikoa ya Dsm, Morogoro na mikoa mingine...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Yule Spiritual leader wa kihindi Saibaba kafariki jana jumapili asubuhi baada ya kusumbuliwa na magonjwa mbalimbali(multiple organ failure actually). Society yake ya kiroho ilikuwa inaitwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hawa jamaa wa cocacola ni mabahili hata kugawa soda za bure hawataki, sasa sijui promosheni maana yake nini?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
MWAKA 2008, Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Maendeleo ya Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco), lilitoa ripoti iliyoonyesha kuwa nchi nyingi duniani zimehamasika kuongeza fursa za elimu kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
SIO wazazi wote wanaoshindwa kufuatilia maendeleo ya watoto wao shuleni.Wapo wanaotamani kufanya hivyo na hata kuwasaidia kimasomo lakini wanakwazwa na matumizi ya lugha inayotumika shuleni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kitendo cha CCM kumtoa Yusuf makamba na kumuweka january makamba tena kwa kumrundikia mavyeo kunatia shaka ndani ya CCM na taifa pia, kuna siri gani kati ya kikwete na Makamba's. hii sawa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bila shaka wewe msomaji unayesoma hapa utakubaliana na mimi kuwa umeshawahi kuzisikia kauli hizi kutoka kwa wanaume pale anapozungumziwa mwanamke mzuri kwa sura na umbo. Kwa kawaida vipimo vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Babu wa Loliondo mchungaji Mwasapile amesitisha huduma ya kutoa dawa alimaarufu kikombe baada ya kufiwa na mwanae mkoani Manyara - Babati. Vibali vya magari kwenda huko vimesitishwa hadi hapo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…