Breaking news Mtoto wa Babu Ambilikile amekufa!!

Breaking news Mtoto wa Babu Ambilikile amekufa!!

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,277
Reaction score
14,324
Ktk hali isiyo yakawaida mtoto wababu Ambilikile amekufa je tuseme ndio majibu ya maombi ya watu wa Mungu?! Je waathirika watakuwaje maana kikombe mpaka May muda uco julikana! Source TBC1
 
Mungu amlaze pema peponi.

Dawa ya babu imeponya wengine na wengine hawajapona na ambao hawakupona wanakiri imani hawakuwa nayo.

Jinsi ulivyoandika kifo na dawa vinaendaje?
Mbona maza tereza, mapadre wanakufa pia.

Mungu amempenda zaidi.
 
Ktk hali isiyo yakawaida mtoto wababu Ambilikile amekufa je tuseme ndio majibu ya maombi ya watu wa Mungu?! Je waathirika watakuwaje maana kikombe mpaka May muda uco julikana! Source TBC1

Hii nayo habari ya siasa?
 
Ktk hali isiyo yakawaida mtoto wababu Ambilikile amekufa je tuseme ndio majibu ya maombi ya watu wa Mungu?! Je waathirika watakuwaje maana kikombe mpaka May muda uco julikana! Source TBC1

Kila mtu atakufa. Hata wale ambao Yesu aliwaponya ama kuwafufua, baadae walikujafariki.
 
kwa hiyo ulidhani mtoto wa babu hatakufa? hii nayo ni great thinking jamani?
 
unaweka habar nusu nusu ili iweje? andika ki2 kieleweke wengine 2ko mbali hyo tbc huwa ha2oni, post like GT
 
Cha ajabu kipi hapa? Kwani Babu anatoa dawa ya kuepuka mauti mpaka ishangaze kuwa ameshindwa kumponya mwanawe? Tunachojua mpaka sasa ni kuwa anatoa tiba ya magonjwa sugu matano..haponyi kifo jamani.
 
naskia amemtoa kafara mwanawe ili biashara isidorore, tunangoja proof.
 
ktk hali isiyo yakawaida mtoto wababu ambilikile amekufa je tuseme ndio majibu ya maombi ya watu wa mungu?! Je waathirika watakuwaje maana kikombe mpaka may muda uco julikana! Source tbc1

woooow
 
Back
Top Bottom