Promosheni ya Coca Cola ni danganyatoto.

Promosheni ya Coca Cola ni danganyatoto.

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
1,282
Reaction score
250
Hawa jamaa wa cocacola ni mabahili hata kugawa soda za bure hawataki, sasa sijui promosheni maana yake nini?
 
hata hivo vizibo hapa kwetu hatuviangalii tena kwasababu tumechoshwa na "Jaribu tena"
 
Matapeli hao walikuwa wanataka kuona kama watu wanapenda soda zao.
 
probability ya kupata zawadi ni 1/100000
Watu na bahati zao,mimi nilishinda soda ya bure majuzi....but nashangaa promo za siku hizi sio kama zamani enzi nipo shule ya msingi ulikuwa ukisikia promo ya soda....basi kushinda soda ya bure nikitu cha kwaida sana....achilia mbali pesa na vingine..
 
Sasa kama mimi nimeacha kabisa kunywa soda, hizo za bure nitashinda lini...
 
wacha niendelee kujimiminia bidhaa za Pepsi soda za ukweli kwa wanyonge.
 
Back
Top Bottom