Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,556
- 7,429

Yule Spiritual leader wa kihindi Saibaba kafariki jana jumapili asubuhi baada ya kusumbuliwa na magonjwa mbalimbali(multiple organ failure actually). Society yake ya kiroho ilikuwa inaitwa Guru(jina la miungu ya kihindi) na alikuwa akisifika sana kwenye kufanya miracles na alifahamika sana kwa ile staili yake ya nywele, alikuwa na mamilioni ya wafuasi dunia nzima.
Sijajua kwa hapa bongo haya mabasi yanayosafiri Mikoani ni kati ya Assosiation za huyu kiongozi au la, mwenye kujua atujuze.
Alizaliwa 23 Nov 1926-24 April 2011. R.I.P.