Ukiwa Zanzibar Dar es Salaam ni Nchi za Nje! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukiwa Zanzibar Dar es Salaam ni Nchi za Nje!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by eedoh05, Apr 23, 2011.

 1. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Wananchi wa Zanzibar wamekuwa wakiichukua Dar es Salaam-Tanzania kuwa ni nchi ya nje. Katika mahakama mara kadha kesi uahirishwa itokeapo shahidi, mshitaki au mshitakiwa asipohudhuria mahakamani. Mahakimu wanapouliza mhusika imekuwaje hajahudhuria katika mashauri yamhusuyo? Iwapo mhusika huyo atakuwa safarini Dar es Salaam au mkoa wowote ulioko Tanzania bara; atajibiwa mhusika amesafiri nchi za nje yuko Dar es Salaam. Wewe usiyeyajua haya amini ndivyo ilivyo. Mahakimu wengi wanaohudumu katika mahakama mbalimbali huko Zanzibar watakuthibitishia.:whoo:
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  kumbe, hata zenj ni nchi ya nje au sio?
   
 3. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,143
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 180
  big up kwa kutujuza man....!
   
 4. kalamata

  kalamata Senior Member

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  .........Do! hii ya leo kali hatujawahi kusikia.
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,908
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Je kwenye official documents huwa wanatumia neno "nchi za nje" au ni kwenye lugha ya mazungumzo tu?
   
 6. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Wanatumia nchi ya TANGANYIKA
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo na sie wabara tukienda Zanzibar tunaenda nje ya nchi?Waanze kutoa visa basi na kuomba za bara!
   
 8. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Lizzy wewe wa mwaka gani? Umesahau Zenji watu walikuwa wanaenda kwa passport/visa. Ni miaka ya 90's km sikosea hii kitu ndio iliondolewa. Ila kuja Bara ilikuwa ni free.
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mi wa zamani zaidi!Well kama ilishatolewa basi hatuwezi kuihesabia kama nchi nyingine.Wakubali tu kwamba Zanzibar ni sehemu ya Tanzania...na itaendelea kua hivyo mpaka siku upande mmoja utakapojitenga!
   
 10. T

  Taso JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,648
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Kwa nini mnawalazimisha wenzenu, Wazanzibari hawataki Muungano jamani.

  [​IMG]

  Zanzibar wanaamini wanajiweza kabisa bila Muungano, sisi ndio tumewang'ang'ania.

  [​IMG]
   
 11. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kwa siye tulowahi kuishi zenj mbona kawaida tu! utasikia "mwanangu elimu yake kaipata nje ya nchi, darisalama"
   
 12. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Zanzibara mnaringia mafuta?
   
 13. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mafuta yapi?zipo nchi zenye mafuta na wanayachimba na kuyauza sembuse hii zanzibar wenye mafuta ya "kufikirika"-wanachi wenyewe hawana uhakika kama mafuta yapo au hayapo-
  KWA HALI ILIVYO WANA HAKI YA KUITA DSM NJE YA NCHI-NA SISI NI MUDA MUAFAKA SASA UMEFIKA WA KUWAITA FOREIGNERS
   
 14. wakigoma

  wakigoma New Member

  #14
  Apr 25, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nikweli ukiw Zenji, dar ni nje ya nchi kwakuwa kulikuwa na mipaka. na ndo maana hata ukinunua kitu huko na ukakilipia ushuru mfano Gari, ukitaka kukileta Dar utakilipia upya.
   
 15. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hili nalo NENO wa kigoma!
   
Loading...