Hizi sikukuu za kitaifa inabidi ziwe zinaelimishwa kwa jamii. Nafikiria hivi kwa vile jamii kubwa ya watanzania haifahamu umuhimu wa kuadhimisha baadhi ya sikukuu. Hivyo inaonekana wenye kuguswa sana na hizi sikukuu za kiserikali ni hao viongozi kwa vile elimu haitolewi kwa jamii. NI mtazamo tu nipeni mtazamo wenu!