Ccm na staili ya kata mti panda mtu itasaidia chama au kukiuwa chama???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm na staili ya kata mti panda mtu itasaidia chama au kukiuwa chama????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DUNIANGUMU JR, Apr 26, 2011.

 1. D

  DUNIANGUMU JR Member

  #1
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kitendo cha CCM kumtoa Yusuf makamba na kumuweka january makamba tena kwa kumrundikia mavyeo kunatia shaka ndani ya CCM na taifa pia, kuna siri gani kati ya kikwete na Makamba's. hii sawa na kukata mti na kupanda mti?
   
Loading...