Ukinunua gari Zanzibar kuja Dar unalipa ushuru?

Ukinunua gari Zanzibar kuja Dar unalipa ushuru?

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,863
Reaction score
1,442
Kuna rafiki yangu ameniambia eti ukinunua gari Zanzibar ukija Dar unalipia ushuru, nimembishia sana hakuishia hapo tu, akasema hata TV, Fridge,Radio zote utalipia ushuru, sasa najiuliza nini maana ya Muungano? kwani Zanzibar sio Tanzania? eti wadau hii ni kweli???
 
Naunga hoja! Kama kuna Jf mwenye uwelewa zaidi a2juze bila kukawiza.
 
Ntarudi kucheki baadaye kama mwenye kujua amechangia!
 
Dah sijui unalipiaje vitu kama fridge na redio...sijaona watu wakiulizwa pale bandarini wakiwa na tv zao.....mwenye data tafadhari
 
Na ni hao hao TRA ndiyo wanaolipisha mara mbili licha ya kupiga kelele mara kadhaa kuhusu hili.
 
pia nina jamaa zangu wawili juzi tu wamenunua magari from zanzibar but walipofika dar bandarini wakalipa kodi kama kawa japokuwa zenji walilipa pia. huu muungano huu, una mengi yaliyofichika ndani yake
 
Back
Top Bottom