Waziri Mkuu ananyamanzishwa mara 3?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Mkuu ananyamanzishwa mara 3??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Apr 26, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,544
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Katika Bunge lilopita tuliweza kushuhudia Waziri Mkuu akikalishwa chini Mara 3 Na spika wa Bunge A.Makinda!Pale walipotakiwa kupiga kura ya ndiyo Baada ya Zitto Kabwe kumwambia spika kuwa kauli zimeshabihiana hivyo ipigwe kura!!Kamakiongozi wa shughuli za serikali Bungeni je ilikuwa halali kwa Spika kumdharilisha Waziri Mkuu Kwakumnyima kueleza Mawazo yake??Au Spika anaona Waziri Mkuu ana udhaifu ndiyo maana anfanya hivyo?
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Hatujawahi kuwa na Spika hovyo na waziri mkuu ambae sio makini kama hawa!!period
   
 3. R

  Rangi 2 Senior Member

  #3
  Apr 26, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sijawahi kuona Waziri Mkuu hovyo kabisa kama Pinda katika nchi hii!!
   
 4. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,060
  Trophy Points: 280
  Kwa tukio hili tatizo si waziri mkuu ni spika, waziri mkuu alikuwa makini ndiyo maana hata baada ya kuulizwa mara tatu hakuteteleka nakumbuka mara ya mwisho alipoulizwa alisimama akasema 'NIMESEMA NDIO'. Imekuwa ni tendency ya wabunge wa CCM kupinga kila kinacholetwa na wapinzani, spika hakuamini mabadiliko yanayoanza kuonekana kuwa baadhi ya wabunge(makini) wa chama tawala wameanza kuamka akiwemo Waziri Mkuu. Hilo ni somo kwake spika kuwa na yeye pia anatakiwa aanze kubadilika bunge lijali maslahi ya taifa zaidi kuliko ya chama.
   
 5. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2011
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Duuuh balaa,Pinda anajifanya yuko makini sana lakini nimegundua naye mtu wa propaganda tu kama Tambwe Hiza basi!
   
 6. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,908
  Likes Received: 12,060
  Trophy Points: 280
  Kwa tukio hili unaweza ku substantiate hoja yako au kwa vile aliunga hoja ya wapinzani.
   
 7. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye nchi weka Dunia
   
 8. M

  Mwera JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Quinine umenena kweli tupu,tena live bila chenga,nakupa thanks!
   
Loading...