Breaking News. Babu wa Loliondo asitisha kutoa kikombe hadi tarehe 02.05.2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking News. Babu wa Loliondo asitisha kutoa kikombe hadi tarehe 02.05.2011

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzee wa Rula, Apr 25, 2011.

 1. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Babu wa Loliondo mchungaji Mwasapile amesitisha huduma ya kutoa dawa alimaarufu kikombe baada ya kufiwa na mwanae mkoani Manyara - Babati. Vibali vya magari kwenda huko vimesitishwa hadi hapo huduma itakapoanza tena.
  Changamoto iliyopo ni msururu wa wagonjwa waliopo huko ambao wanaosubiri huduma ya kikombe toka 26.04 - 02.05.2011. Poleni wote mliopo Loliondo ambao bado hamjapata kikombe na babu ndiyo kafiwa na mwanae, najua maisha yatakuwa magumu sana kwa siku hizo zote.
  Mwisho ni pole kwa babu, wapo wajinga wengi watakaohoji kwa nini mwanao amefariki dunia? Wanafikiri wewe unatoa kikombe kuzuia kifo, pole kwa msiba mzito ulikukumba.
  Source TBC1
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi ..amen
   
 3. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2011
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Rip , mtoto wa babu
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  pole babu na wafiwa wote
   
 5. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  R.I.P Mtoto wa babu
  Na poleni mlioko kwa foleni.....subira yaleta kheri.
   
 6. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nasikia babu ataondoka jioni ya leo kuelekea Babati kwa helicopter ili akafanye mazishi kisha baadae kurejea kwenye shunguli zake baada ya tarehe 02.05.
   
 7. LivingBody

  LivingBody Senior Member

  #7
  Apr 25, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  R.I.P mtoto wa babu, wote twapitia huko.
   
 8. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  R.I.P mtoto wa babu
   
 9. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  R.I.P mtoto wa babu.
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  pole saaana babu mungu atakujaza nguvu wakati huu mgumu. RIP Mtoto wa babu
   
Loading...