Utaratibu wa jk kuwaumbua mawaziri wake mbele ya wafanyakazi wake unasaidia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utaratibu wa jk kuwaumbua mawaziri wake mbele ya wafanyakazi wake unasaidia?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by matawi, Mar 24, 2011.

 1. m

  matawi JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nimekuwa nafuatilia ziara ya Mkuu wetu wa nchi katika wizara juzi nikamwona anamkatalia Waziri Nundu taarifa ya mkakati wa kuboresha TRL ambapo alimwambia kwamba hauelewi na haukubali kiasi cha waziri kuwa bubu baada ya kuonyeshwa wazi na mkuu wake hautaki. Kinachonitatiza mimi je

  1. Huyu mkuu hawezi akakutana na watendaji wake ikulu au sehemu ambayo wanaweza wakajadiliana peke yao hadi siku anapotembelea wizara?

  2. Ni kweli kwamba rais hawezi kukubaliana mikakati na watu aliowateua kupitia nyaraka za serikali mpaka
  siku atakapofanya ziara?
  3. Kumuumbua waziri mbele ya watu walio chini yake na mbele ya waandishi wa habari kunaongeza ari ya waziri kiutendaji?
  Binafsi naona ziara zake ni za kutafuta umaarufu wa kisiasa hasa katika kipindi ambacho ccm imechokwa
  Naomba kutoa hoja
   
 2. c

  cesc Senior Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mi naona ni vizuri anavyoshtukiza kwani akiwaita IKULU wanakuku data akishtukiza hakuna kukuku data ni laive bila zengwe...so BIG UP JK
   
Loading...