Hongera...unaesoma hapa

Hongera...unaesoma hapa

BABA JUICE

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
426
Reaction score
54
Mara nyingi huwa napenda kusoma hoja za watu na comment zao, hapo mwanzo kulikuwa kuna matusi na kejeli mtu atakuambia hauna akili hujui unachosema lakini sasa nao hayo yote ni ya kale watu wanatoa hoja na mtu anajibu hoja kwa sababu za msingi si matusi, ni vigumu kumvumilia mtu ambae humuoni lakini wengi humu ndani wameonyesha uumilivu na kuheshimu mawazo ya watu.
Tujenge pamoja.
 
Back
Top Bottom