According to this professor the answer is yes. YouTube - Race and IQ part 1
Swala la IQ halina uhusiano na rangi. Huyu prof. ni mbaguzi. Pia comment kama hii ilimuangusha sana mmoja kati ya wagunduzi wa DNA na mwenye tuzo ya Nobel katika nyanja ya sayansi (Dr. Watson) baada ya kuwa proved wrong. IQ inaweza kuleta majibu kutokana na mambo mawili makubwa. Kwanza kinasaba (genes), pili mazingira. "Remember the phenotype/perfomance of an individual is a function of Genes and its Environment" . Wengi nafikiri hatujui inavyofanyika na inavyoandaliwa. Huwa tunaishia kucoment kulingana na skills/knowledge, reasoning, recognition ama analysis ya mtu katika mambo flani. Kawaida wanaoandaa test hizi si katika mazingira ya kiafrika. Laabda tushirikishane hili, kunatafiti za kisasa zilizochunguza viasilia vya mwanadamu kutoka mabara yote na kuonyesha afrika ndiyo kuna viasilia (gene pool) vya aina vyote. Watu wa mabara mengine wana mapungufu ya viasilia ambayo vipo Afrika, na ndiyo maana wanasadiki kuwa asili ya mwanadamu ni Africa na alivyo hamia mabara mengine, mazingira ndiyo yakawabadilisha. Sasa sitarajii eti mwafrika ndiyo wa kufanya kati za kutumia nguvu na routine tu, wapo waafrika waliofanya ugunduzi. Pia, kama mazingira yetu (lishe, elimu, uchumi) yangekuwa mazuri, nasi tungekuwa katika nafasi ya kufanya makubwa kama wao. Kama hizo gene walizonazo na sisi tunazo vilevile, tofauti ni mazingira yetu ama umaskini wetu tu.
Genetics provides no evidence that supports racisims, but has much evidence that contradics it.
Jaribu kufatilia hizi lecture mbili utaweza kubaini ninachomaanisha.
YouTube - Genetic Variation
YouTube - Introduction to Population Genetics
Black people 'less intelligent' scientist claims - Times Online