Unaamini kila kitu kimeumbwa na mungu;jani limeumbwa na mungu;kwa nini bangi mbaya??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unaamini kila kitu kimeumbwa na mungu;jani limeumbwa na mungu;kwa nini bangi mbaya???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Mar 24, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  Nduugu wapendwa kwanza na wapa pole wale walioathirika na hili jani leo hii naweza sema kwa bara mna afadhali..serikali ya zanzibar imeshindwa kabisa kukontrol swala la unga na kufanya vijana karibia asilimia 50 wakiishia kula unga kwa mizgo inayoletwa na wale waitaliano wakishirikiana na viongozi wa serikaliin

  Najua si kosa lenu lakini imefika wakati wa kusema saaasa jani/madawa basi..ni kweli mmekuwa mkijinadi limeumbwa na mUNGU kweli lakini mjue kila kitu kina kusudio lake na ndio maana leo wengine wako segerea ili kusudi la Mungu litimie na hili n kwa kushindwa kufanya kusudio lilotakiwa...

  Kuna wengi wamekuwa wakiteseka kutokana na kushindwa kuelewa kusudi la Mungu..Lazima muwe makini hasa nyie viongozi ambao weni mmedai mnafanya biashara kujipatia kipato lakini amwelewi mnaawaathiri kivipi vijana wa tanzania mnachofanya mjue watoto wenu watafanywa hivyo hivyo kama wanavyopotea watoto wa wenzenu..tunajua mnaitaj kujaza yale magorofa lakin embu muwe na uwoga wa Mungu jamani imefika wakati muwe makini na mnachofanya


  Kinachofanyika ni watu kupindisha kusudi lamungu kama ni hivyo lazima mjiulize kwa nini tumeacha kupika bangi na kupika mchicha /kisamvu hii ni kusudi la mungu litimilike leo hiina tangaza kuacha kula ganja in jesus name na wewe unaeuza adhabu ya uwatesao ikafwate kizazi chakao mpaka kitakapomalizika
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu Pdidy ukiamuaga!!!
   
 3. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  :embarassed2:

  Hao wanao-justify kwa kutumia neno ni jani limeumbwa na Mungu huwa napenda kuwashauri watafune Uranium maana na yenyewe imeumbwa na Mungu..........Short-minded fellas
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,358
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  Haaahaaa afadhalai umewahi mpwa maana nilitaka kuwaambia wale ma**** yaliokauka nayo si wproduct imetengenezwa na binadamu kila kibaya wanamsemea mungu...yaani ndugu nimetoka zanziba ni aibu wale viongozi wanawaua wale vijana nna maotel yao huku waitaliano wakiuza nje nje
   
 5. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,071
  Likes Received: 1,107
  Trophy Points: 280
  Great mind at work.
   
 6. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Je na kwa wale wanaokula kama mboga tuwasaidiaje Pdidy?
   
Loading...