Waandika Biblia kwa kikwere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waandika Biblia kwa kikwere

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mshume Kiyate, Mar 24, 2011.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wakristo wa kabila la Kikwere Jimbo la Chalinze, Wiliaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani wamezindua Biblia ilioandikwa kwa lugha yao ili jamii hiyo isome na kuelewa kirahisi maandiko ya Biblia. Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika juzi mjini hapa, Mwenyekiti Samweli kondo alisema kuzinduliwa kwa biblia hiyo kutawasaidia walengwa kufahamu mafundisho yanayotolewa na viongozi wa dini na kuhishi katika maadili mema na kuepuka vitendo viovu.
   
Loading...