Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siku c nyingi zimepita kulikuwa na mkutano ulofanyika jijini Dar wa kujadili mambo ya uchumi kwa nchi za E.A na Africa kwa ujumla. Kwa kawaida mikutano hii huwa inafanyikia Arusha AICC au kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kufuatilia matukio tu nadhani CDM waanze kufikiria kuwa na Makao makuu au Kuamishia shughuli za Chama katika mikoa ambayo ni Ngome. Kikubwa waangalie influence ya hayo maeneo...Mkoa kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo asubuhi nimekutana na kituko cha mwaka, naomba nikiri kwamba hata mimi nilikuwa ni mjinga kwani sikutarajia kwamba jambo hilo nililolishuhudia linawezekana. Naomba nikiri kuwa hata mie...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Eneo la kimara resort Kontena limengukia watu watatu na kuwauwa, wawili walikuwa wapanda pikipiki abiria alikuwa ameshafika akisubiri chenji .mmoja katolewa wengine bado wako chini inahitajika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kinamama hawa waliamua kujitosa majini wakati wakitoka na wengine kuingia kupata huduma ya kliniki kwenye Zahanati hiyo. WATU mbalimbali waliohitaji kuingia na kutoka katika Zahanati ya Mwenge...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi... Nadhani kila mtanzania alifurahi sana mwenzetu Hasheem Thabeet Manka alipokuwa drafted kuingia ligi ya NBA na kutokana na uwezo wake aliouonyesha akiwa UConn tulihisi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
chama kikuu cha upinzani tanzania,CHADEMA kinazidi kuwa imara na kuungwa mkono katika mkoa wa Mbeya,haya yamejidhihirisha hivi karibuni wakati wa mikutano na maandamano ya CDM ktk mkoa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna kitu kimenifikirisha sana katika picha moja wapo ya hizi tatu ingawa zote tatu zinatoa tashwira za kufikirisha watanzania wa leo na njaa ya haki zo. Huyo mpambanaji anayekula french chips...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeona Mkuu wa Mkoa wa Singida ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Manyara aliwaambia wananchi wa Kiteto waite Shule ya Sekondari ya Laalakir iliyojengwa kwa msaada wa Wachina iitwe Shule ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime, ametangaza kuzuka kwa homa ya Nguruwe katika manispaa hiyo. Katika taarifa yake iliyotolewa jana Dar es Salaama, kwenye vyombo vya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MWAKA uliopita utabaki kuwa ni wa historia isiyofutika kwa familia ya marehemu Otieno Odhiambo aliyefariki baada ya kupigwa na baadhi ya waendesha pikipiki walio katika kijiwe cha Kimara Mwisho...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
SUSAN Chiganga (51) aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Da es Salaam, amejinyonga kwa kutumia kanga akiwa ndani ya bafu la wodi aliyolazwa. Inaelezwa kuwa mwili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa wale watakaofanya mitihani ya Board may 11 nawatakieni wote kila la kheri jitahidini hilo ni daraja kwenda ng'ambo ya ukweli ,Mungu pamoja nanyi!!!
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Ati,hivi hawa vijana walikua wanamaanisha nini???
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ndugu zanguni sisi wakazi wa maeneo tajwa hapo juu kero na shida tunayoipata ya usafiri kwenye hii barabara ni mungu tu anaejua maana tunaishi kama vile tuko porini ilhali sisi ni walipa kodi wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MKAZI wa Kijiji cha Kilembo wilayani Sumbawanga katika Mkoa wa Rukwa, Venance Ntogwa(65) ameuawa na mwili wake kuchomwa moto na wanakijiji wenzake wakimtuhumu kumuua binti yake kwa kumroga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Utafiti uliofanywa kwa mapana kuhusiana na matumizi salama ya mtandao unathibitisha kwamba visa vya ulaghai na uhalifu vimezidi katika mitandao ya kijamii, kama vile Facebook. Utafiti uliofanywa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wana JF, hivi ni lazima kwa waandishi wa habari munapoeleza habari za watu waliobahatika kupata madaraka serikalini kuwaita waheshimiwa? Ninavyofikiri mimi ni bora tuwaite waheshimiwa...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Nitazipata wapi hapa a town filamu hizi? darwin's nightmare na kiti cha damu. ya maandamano ya cdm. msaada tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
YouTube - gere mama fupi
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…