Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933



Kuna kitu kimenifikirisha sana katika picha moja wapo ya hizi tatu ingawa zote tatu zinatoa tashwira za kufikirisha watanzania wa leo na njaa ya haki zo.
Huyo mpambanaji anayekula french chips kwenye kibanda, nafasi na uwezo wake siwezi kuamini, lakini yuko tayari katika mazingira yo yote kwa wananchi wake. Hakika inanifikirisha ndio maana nimeamua kuleta hapa.