Waandishi rekebisheni hii! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waandishi rekebisheni hii!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GAZETI, May 14, 2011.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,544
  Likes Received: 1,022
  Trophy Points: 280
  Habarini wana JF, hivi ni lazima kwa waandishi wa habari munapoeleza habari za watu waliobahatika kupata madaraka serikalini kuwaita waheshimiwa? Ninavyofikiri mimi ni bora tuwaite waheshimiwa baada ya muda wao wa uongozi kuishi tena ionekane wazi kuwa wamefanya jambo ambalo wanastahili kuitwa waheshimiwa. Sio Kikwete ameteua mbunge leo kesho anaitwa muheshimiwa, kwa lipi? Hata Fisadi naye ni muheshimiwa, anaheshimiwa na nani?
   
Loading...