Homa ya nguruwe yapiga hodi Dar es Salaam

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime, ametangaza kuzuka kwa homa ya Nguruwe katika manispaa hiyo. Katika taarifa yake iliyotolewa jana Dar es Salaama, kwenye vyombo vya habari, Fuime alisema homa hiyo haina tiba, wala chanjo, Katika taarifa hiyo, mkurugenzi huyo ametoa onyo na kusema kuwa. kuanzia jana ni marufuku kusafirisha nguruwe na mazao yao nje ya manispaa hiyo ikiwemo nyama, mifupa. damu, soseji, mbolea na matandiko, Ni marufuku pia kusafirisha nguruwe kutoka katika mashamba na mabanda.
SOURCE. Mtanzania may 14, 2011
 
Habari mbaya kwa waislamu wala mbuzi katoliki.........jamani!!!!!
 
Nimepita pale kigogo sambusa kwenye mabucha ya nyama ya nguruwe, nimekuta watu wanalia kama watoto Mdudu yupo lakini ndio gonjwa limeingia. halafu nasikia mbavu za nguruwe ukila zinapunguza nguvu za kiume
 
Naomba uzoefu, utagunduaje mnyama nguruwe ana homa? dalili zake ni kama binadamu anapokuwa na homa?maambukizi yake ni kwa nguruwe tu au hata kwa binadamu? kasi ya maambukuzi ikoje?
 
Back
Top Bottom