Mbele ya zahanati

Mbele ya zahanati

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,272
Reaction score
144,438
A.jpg


Kinamama hawa waliamua kujitosa majini wakati wakitoka na wengine kuingia kupata huduma ya kliniki kwenye Zahanati hiyo.
WATU mbalimbali waliohitaji kuingia na kutoka katika Zahanati ya Mwenge jijini Dar es Salaam, jana walilazimika kupita kwenye dimbwi kubwa la maji machafu yaliyokuwa yametuama kwenye mlango wa kuingilia Zahanati hiyo kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha

​
 
Hosp nyingi bongo ukienda kutibiwa jua unaondoka na kaugonjwa kengine!!

Btw picha haionekani!‘
 
Hosp nyingi bongo ukienda kutibiwa jua unaondoka na kaugonjwa kengine!!

Btw picha haionekani!'

Nimechemsha hapo kwenye picha aisee. Siko technically na technologically inclined kabisa.

Kwa atakayeweza kutoa msaada, picha nimeitoa global publishers.
 
Back
Top Bottom