kontena laua 3 kimara resort

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,437
1,597
Eneo la kimara resort Kontena limengukia watu watatu na kuwauwa, wawili walikuwa wapanda pikipiki abiria alikuwa ameshafika akisubiri chenji .mmoja katolewa wengine bado wako chini inahitajika breakdown kontena inakisiwa kuwa na mzigo mzito reporter anasema anaona miguu na ubongo ukichuluzika barabarani foleni ni kubwa hakuna dalili za kutolewa mapema saa hii trafiki anaonekana akiongo za magari sababu ya foleni. Hii nimeisika sasa hivi (kama saa 12:45 jioni)radio one breking news.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom