Nbaa examination may 2011

Nbaa examination may 2011

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
259
Kwa wale watakaofanya mitihani ya Board may 11 nawatakieni wote kila la kheri jitahidini hilo ni daraja kwenda ng'ambo ya ukweli ,Mungu pamoja nanyi!!!
 
ahsante sana ndugu. let me wish u the same in whatever ur doing
 
Ni mitihani gani? Level ipi? Unaingiaje? Nipe habari inaweza saidia ndugu zangu

Nawatakia heri katika Mitihani
 
ukiona mwenzio ananyolewa sharti na wewe utie maji.
Tunafuata katika mapambano haya.
Wish you all the best.
 
Kwa wale watakaofanya mitihani ya Board may 11 nawatakieni wote kila la kheri jitahidini hilo ni daraja kwenda ng'ambo ya ukweli ,Mungu pamoja nanyi!!!

Vipi mambo yalikuwaje jamani, poleni na swaga, nawatakia kila la kheri!
 
Du ile mitihani sijui ikoje.......mi nimejaribu mara4 nimeshindwa wakati nilikuwa nondo sana class....haya nawatakieni kila ka kheri jamani
 
asante sana mkuu

Kumbe preta hukuwa umetambulika kisheria kama MOST ACCOUNTANT?
VP UNAPIGA MODULE IPI MKUU?
BOOK KEEPER+ PROFESSIONAL EXAMS(MODULE E& F)=CERTIFIED PUBLIC ACCOUNTANT.
 
Du ile mitihani sijui ikoje.......mi nimejaribu mara4 nimeshindwa wakati nilikuwa nondo sana class....haya nawatakieni kila ka kheri jamani

mimi nimeipotezea hata sikujaribu. Nimetinga ACCA nasubiri ku-sit kwa exams kwao ni june na dec yearly.

usingetaka tamaa mkuu..all the best watahiniwa kwenye pepaz!!
 
Acca walinikatisha tamaa wenyewe nilienda nilikakuta ka-sister flani kakasema kwa kweli acca inahitaji uwe full time usiwe busy na mambo mengine ndipo unaweza kuifaulu kakasema la sivyo we soma tu nbaa....nayo imenitenda.

mimi nimeipotezea hata sikujaribu. Nimetinga acca nasubiri ku-sit kwa exams kwao ni june na dec yearly.

Usingetaka tamaa mkuu..all the best watahiniwa kwenye pepaz!!
 
Du ile mitihani sijui ikoje.......mi nimejaribu mara4 nimeshindwa wakati nilikuwa nondo sana class....haya nawatakieni kila ka kheri jamani

Hata sasa upo nondo, tatizo majukumu na utu uzima. ukitulia unaweza!
 
Acca walinikatisha tamaa wenyewe nilienda nilikakuta ka-sister flani kakasema kwa kweli acca inahitaji uwe full time usiwe busy na mambo mengine ndipo unaweza kuifaulu kakasema la sivyo we soma tu nbaa....nayo imenitenda.

mmh! huyo dada alikuingiza chaka..kwa nilipo, nafanya kazi fulltime na nimejiandikisha kwa mtihani..sema tu sitothubutu kuchukua pepa zaidi ya32 per sit mana nitakosa yote kwa kutaka yote..jarib kuulizia tena mkuu, usikate tamaaa!!
 
Back
Top Bottom