Chadema yazidi kujiimarisha mkoa wa mbeya,MBEYA NI NGOME YA CDM

Feb 13, 2011
37
14
chama kikuu cha upinzani tanzania,CHADEMA kinazidi kuwa imara na kuungwa mkono katika mkoa wa Mbeya,haya yamejidhihirisha hivi karibuni wakati wa mikutano na maandamano ya CDM ktk mkoa huo.Ushiriki wa wananch ktk maandamano na mikutano ni kigezo cha msingi sana cha kukubalika kwa chama.Mikutano na maandamano ya CDM yalikuwa makubwa/mikubwa sehem zote;mbeya mjini,mbozi,Kyela,Rungwe.Chunya n.k
MBEYA NI NGOME YA CHADEMA
 
Ngojeeni wakagawiwe t-shirt,kofia na ubwabwa kama hawakubeba bendera za ccm. Ngome yenu ni Hapa JF tu.
 
Ngojeeni wakagawiwe t-shirt,kofia na ubwabwa kama hawakubeba bendera za ccm. Ngome yenu ni Hapa JF tu.
Kwanini hawakugawa siku ile pale Uyole kwa Shitambala. T-shirt zenyewe zitatoka wapi wakati Chama kimefulia mbaya
 
Ngojeeni wakagawiwe t-shirt,kofia na ubwabwa kama hawakubeba bendera za ccm. Ngome yenu ni Hapa JF tu.
Kumbe unajua bila rushwa ccm hakuna?Ccm inalindwa na Jwtz,Polisi,Tiss,n.k,bila hivyo Ccm tungeshazika,
 
Kumbe unajua bila rushwa ccm hakuna?Ccm inalindwa na Jwtz,Polisi,Tiss,n.k,bila hivyo Ccm tungeshazika,

2015 wanapigwa pande zote hakuna cha JWTZ,TISS,police ,NEC wala mgambo wala nini!
Peoples pawaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ngojeeni wakagawiwe t-shirt,kofia na ubwabwa kama hawakubeba bendera za ccm. Ngome yenu ni Hapa JF tu.
Yaani unawaona watu wa Mbeya kuwa mazezeta. Hii ndiyo mindset ya wana CCM. Mtapata rude awakening.
 
Kilichobaki chama cha magamba ni ANGUKO KUU ambalo linakuja sii mda mrefu.
 
Hatimaye nduli ccm abakia mikoa ya pwani. Na huko kuna sababu moja tu. Raia wake wakielimishwa nduli atakaa jumba la makumbusho pale lumumba.
 
Back
Top Bottom