Ya Iringa Haya hapa

Ya Iringa Haya hapa

Profesy

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Posts
391
Reaction score
16
Wakuu sijui wangapi waliangalia taarifa ya habari jana kwenye ITV lakini kinachoendelea Iringa ndio hii hapa baada ya matatizo ya maji huko.

Eti huyu jamaa alikua hataki watu wachote maji kwa hio akamwaga mafuta (crude oil) ndani ya kisima.
Kimiminika.JPGMzee saro mwenyewe.JPGAkiwa amesimama pembeni.JPGKimiminika kikimiminwa.JPGVidumu.JPGJinsi maji yalivyoharibiwa.JPGWapangaji wakiangalia kwa masikitiko.JPGMasambu akata tamaa.JPGMasambu akata tamaa.JPGSerikali ya mtaa kwa makini.JPGAkiwa amesimama pembeni.JPG
pencil.png
 
kisima ni mali ya nani?
Ya huyo mzee na kapelo hapo juu. na hio kisima unatumika na watu wa eneo hio wanaomlipa kodi ya nyumba kila mwezi. Sasa yeye kwa namna moja au nyingine ameamua kutumia sijui ni ubabe au la.:caked:

Mwenye nyumba kwanza alikuta kisima hapo tangu 1983. Sijui aliona maji yataisha sana sana ukielewa shida ya maji inayoendelea Iringa.
 
hapa issue si kisima ni mali ya nani,hata kama ni mali yake lakin alichokifanya si cha kiutu wala kiungwana,....pambafuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
atakuwa mwanachama wa ccm huyo lazima!
 
Hivi CCM wapi na wapi kwa kweli?

Hapana, mimi nilivyomuelewa Henge, ana maana wenye akili za namna hiyo ni wanachama tu wa CCM, it was jus a reference. Hana maana ya kufanya siasa kwa hiim thread.
 
Back
Top Bottom