Mbunge wa chadema akamatwa na polisi msobemsobe kupelekwa jimboni kwake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa chadema akamatwa na polisi msobemsobe kupelekwa jimboni kwake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kurunzi, May 3, 2011.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Kuna habari za mbunge wa CDM kukamatwa na polisi na kupelekwa jimboni kwake haijajulikana tatizo ni nini na ni mbunge gani.
  Source. Vichwa vya habari nipashe
   
 2. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Muhimu kujuzana kwani Nipashe imegundua bila kuweka neno Chadema gazeti halitonunuliwa.
   
 3. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mbona sijaona neno Msobemsobe kwenye hicho kichwa cha habari?ama na wewe umejivua gamba?
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  :sorry:
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Sio lazima uanzishe thread, sasa hapa sisi tusome nini? kweli ujinga nao ni mzigo mzito.
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nafurahia kusoma wajinga huwaza nini......ona hii thread......
   
 7. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,484
  Likes Received: 4,757
  Trophy Points: 280
  Mbunge akamatwa................apelekwa jimbni kwake.............mhhhhhhhh!!!!!!!!!hii kali sana...unauza mwandiko wako tu hapa.......
   
Loading...