Babu wa tegeta yuko wapi?

Babu wa tegeta yuko wapi?

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
Kama mtakumbuka malikuwepo kijana mmoja anaitwa BABU alikuwa anatibu magonjwa sugu likiwemo ukimwi kwa kusoma kuran...huyu jamaa alikuwa anakaa tegeta/bahari beach kwenye ghorofa kubwa na alikuwa magari ya kifahari....
yuko wapi siku hizi?

sisikii huduma zake tena? yupo wapi siku hizi??
 
Mbele ya hukumu ya haki!
 
amefariki kitambo sana...

Tena kwa gonjwa Sugu!

Soon na wengine watafuata!!
 
Ametangulia mbele za haki.Ila alikuwa anakaa Tegata juu ya mtmbo wa IPTL na siyo bahari beach
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom