Bodaboda Zitawamaliza Hawa Watoto.....

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
Wiki iliyopita nilikuwa huko Masasi kwa shughuli za kikazi. Nilipita katika hospitali ya Ndanda, hali niliyoikuta ilinisikitisha. Kulikuwa na vijana kama sita waliokuwa wamekatwa miguu kutokana na ajali za pikipiki. Na wote ni wale waliomaliza form four mwaka jana na kufanya vibaya, unaweza kuimagine umri wao ni around miaka 14 na 16. Yaani watoto wadogo wanapoteza miguu, inasikitisha kwa kweli!
 
Innalillah wainailaih rajiuun,
Hakika yasikitisha sana rasilimali WATU kutoweka kirahisi hivyo, umri wao sio kuendesha pikipiki wala gari...bado ni foolish age. Mara kadhaa huhitaji kuwa na madaha barabarani kitu ambacho hakiendani na usalama wa barabarani.
Pole zao!
 
Back
Top Bottom