kesi dhidi ya sophia simba-ilikuwa tishia nyau...?

kesi dhidi ya sophia simba-ilikuwa tishia nyau...?

The Kop

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
209
Reaction score
93
sophia simba alipoituhumu CDM kuwa inafadhiliwa na mataifa ya ulaya kuchochea vurugu, makada wa CDM walisema watamburuza mahakamani lakini hadi sasa ni kimya chenye kishindo...ilikuwa ni kutishia nyau...?
 
Ni kujishushia heshima kukomaa na kesi dhidi ya mtu anayefikiri baada ya kuongea!
 
Back
Top Bottom