Osama kuitwa ""mwanaheri"" dec 2011??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,147
Wakati Papa john paul wa pili ametangazwa kuwa mwanaheri uongozi wa kanisa la afghanistan umeomwomba Pope kumtangaza Osama bin laden kuwa Mwanaheri ifikapo mwishon mwa mwaka huu
wakiongea kwa nyakati mbalimbali watumishi wamesema pamoja na ubaya wake amekuwa akisaidia baadhi ya watu ktk shida zao na hivyo aoni sabbabu ya kwa nini dunia kufurahia mauwaji ya kijinga

Kazi kwako P kwaniaba yangu na watanzania naomba awe mapema mchakato usichelewe kama POPE JOHN WA 2
 
Ha ha haaaa...dah,
Mkuu hii ingekaa kuleeeeeee kwenye jokes, maana hapa ITAWAAMINISHA BAADHI YA WADAU na kuleta mzengwe. Ni ka-angalizo kaduuchu tu.
 
uongozi wa kanisa la afghanistan umeomwomba Pope kumtangaza Osama bin laden kuwa Mwanaheri
Kazi kwako P kwaniaba ya familia yangu naomba awe MTAKATIFU
Waislam nadhani wana heshima inayoshabihiana na hiyo. Wanawezampa.
By the way sio Mwanaheri
Pili tupe source ya habari hizi, otherwise iende kwenye jokes.
Bold bluu: wewe na familia yako mnaweza kumtangaza kuwa mungu wenu na kumwabudu kabisa.
 
Ninajua neno sahihi ambalo ungeliweka hapo badala ya Mwanaheri!
Lakini sitalitaja, maana kejeli hii inavuka mipaka!
 
Wakati Papa john paul wa pili ametangazwa kuwa mwanaheri uongozi wa kanisa la afghanistan umeomwomba Pope kumtangaza Osama bin laden kuwa Mwanaheri ifikapo mwishon mwa mwaka huu
wakiongea kwa nyakati mbalimbali watumishi wamesema pamoja na ubaya wake amekuwa akisaidia baadhi ya watu ktk shida zao na hivyo aoni sabbabu ya kwa nini dunia kufurahia mauwaji ya kijinga

Kazi kwako P kwaniaba yangu na watanzania naomba awe mapema mchakato usichelewe kama POPE JOHN WA 2

Pdidy,

I did not know that you are so LOW!

Ni jambo la kipuuzi kuweka ulinganifu kati ya Papa Paul na Usama Bin Laden katika mambo ya IMANI ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom