stashahada

ossy

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
872
143
wakuu naombeni msaada,nna mdogo wangu wa kiume kamaliza form six mwaka huu kapata divition three points 17 ,HGL-(hist-f,Geog-d na lang-e) je ataweza kujiunga na diploma course yoyote atakayounganisha na bachela baadaye! Nawakilisha!!!
 
Huyo ana principles mbili ikiwa ni minimum qualification za kujiunga na elimu ya juu. ila ishu ya kupata mkopo hapo ndipo patamu.
 
samahani wakuu nimepitiwa kidogo,language kapata-s...!
 
Wala haukna shida mkuu, anaweza kwenda kozi yoyote endapo individual subjects walau mbili ziko sawa (amafauru) ualimu, uhamiaji na mengine bila shida!
 
Hiyo uhamiaje atapataje mkuu? Msaada zaidi hapo!!!
 
Back
Top Bottom