Can we be better than this? JF degenerating? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Can we be better than this? JF degenerating?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shinto, May 2, 2011.

 1. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nimefuatilia mwenendo jumla wa mijadala hapa JF kwa siku za karibuni, imeona kama tunarudi nyuma badala ya kusonga mbele!
  Siku hizi watu wamekuwa wakivutiwa zaidi na mambo rahisi na udaku. Yaani kwa ujumla asilimia zaidi ya 80 ya wachangiaji hapa JF wanapenda mijadala rahisi rahisi inayojadili watu na matukio tu! (people and events).
  Na hii imeshika mizizi zaidi baada ya uchaguzi wa 2010, nadhani ni uchaguzi mkuu wa kwanza katika maisha ya JF.
  Tangu hapo mijadala imekuwa ya matukio ya uchaguzi, matukio ya kisiasa, kashfa za kidini na vitu kama hivyo. Je JF kama jamvi la GREAT THINKERS hatuwezi kuwa na mijadala bora zaidi ya hii ambayo hata vijiweni wanaifanya?
  Hatuwezi kujadili kwa mfano:
  1. Spiritualism badala ya religion?
  2. HIV AIDS na impact zake kwa next generation?
  3. World economic recession?
  4. Doctrine of waging pre-emptive wars?
  5. Moral philosophies?
  6. Socio-economic philosophies?
  7. Modern science inventions?
  Na issue kama hizo.
  Nadhani hii ingepelekea wasomi wetu ambao naamini wapo humu JF wakatupa michango yao ili taifa linufaike kwa taaluma zao.
  Hii ya CDM, CCM, MAGAMBA, UFISADI n.k tunaweza kuijadilli lakini isiwe ndio main theme ya forum hii!
  Nawakilisha!
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Tuanzishie sredi ya namba 1 - 7. Tutajadili mkuu.
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Mod rudisha GROAN, na insible avue gamba ili mtu abandika CRAP iondolewe mara moja: naunga mkono hoja.
   
 4. inols

  inols JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Well said, but nothing comes out of the blue, there must be someone who initiates things with substance and consequently produces corresponding results. Would you mind to be that person, i assure you to be the first one to support you with provocative argument. All the best Jesuit.
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  May 2, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Mwaga thread tuchangie boss naunga mkono hoja.
   
 6. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Unachokiongea ni sawa sasa hapa uhuru wa kutoa maoni nao ndio unaotumega, mtu anaongea chochote anachotaka, mfano mada ikija badala ya kujadiliwa na kupatikana ufumbuzi inaishia kwa matusi na ujinga mwingine kama huo. naomba tubadilike jamani kwenye ukweli uongo hujitenga! Peace!
   
 7. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yeap, kwa case ya spiritualism kwa mfano, mimi nimewahi kuhudhuria tambiko la kuomba mvua la kabila fulani baada ya ukame wa miezi mingi, amini nawaambia kabla tambiko halijaisha vizuri wingu lilitanda mvua ikaanza kunyesha! Je, hapa zilikuwa nguvu zipi? Za shetani kama baadhi ya watu wanavyotaka tuamini? Au ile habari ya kule Ukerewe jiwe linacheza likiimbiwa! Naambiwa mkuu wa mkoa aliona maajabu haya, how do yo explain that?
   
 8. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Hiyo habari ya mvua inaweza kuwa coincidence, umeweza kushuhudia repeatedly? I don't believe in the supernatural.
   
 9. Mahai

  Mahai JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Might be coincidence
   
 10. M

  Makupa JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  this is wonderful idea
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nami naunga mkono hoja yako! ingawa sijui ni ipi?
   
Loading...