Nipo kwenye ofisi za Tanesco wilaya ya Temeke. Nimeona maandishi mengi sana kwenye vioo vya upande wakulipia ila kilichonivutia zaidi ni mambo mawili. 1. Masaa ya kazi kitengo cha dharura...
wakiongea na kuwasiliana na masheikh wa mkoa wa tabora katika kipindi maalumu cha Radio IMANI wamesema kitendo alichofanya said kubenea kwa kuandika habari isiyokuwa na uhakika huku ni...
Mimi binafsi nimeshindwa kuelewa ina maana ni ushamba wetu au ni kukosa habari! Kwani vyombo vya habari sasa badala ya kueleza sera na hoja zinazotolewa na wagombea huko Igunga, imebakia kuelezea...
Nawapenda nyote wanaJf! Hebu tutumie "our power of imagination": Hivi maisha yangekuwaje kama kila mmoja wetu angekuwa anaijua siku na saa atakayokufa?
Kuna habari kuwa kuna kampuni moja ya India inaitwa Karuturi imekamilisha mchakato wa kununua asilimia moja ya ardhi ya Tanzania kufanya shughuri za kilimo.Hii habari kutoka katika gazeti la the...
TFDA,TBS,TAKUKURU NA TRA
moja ya haabari kubwa za leo ni suala la kuingia sokoni kwa dawa za aina 5 za bandia,,,,niliposikia kuwa zipo sokon nikashtuka,na nikajiuliza zimeingiaje????kama...
Kempinski
Kuna tetesi kuwa hawa mabwana Kempinski ni management company na huwa hawana properties zao wenyewe bali wanatoa usimamizi kwa makubaliano maalum na owners wa accommodation properties...
tanganyika nchi yangu nzuri wamekugeuza shamba la bibi nilikuwa chunya wiki jana wageni wanajibebea dhahabu kama zao bila usimamizi wowote.....wachina waliokuwa wanatengeneza barabara...
Ndugu zng wana IGUNGA kutokana na kashfa za wizi wa fedha za umma zinazomkabili aliyekua mbunge wenu R.A (CCM) na kumpelekea kujiuzulu,ss zimebaki siku chache mpige kura kumchagua kiongozi wn...
Jana kwenye kampeni mwananchi anamuuliza kafumu mbona unayoahidi yashaahidiwa na watangulizi wako wa chama chako na hawakutekeleza na wewe utayatekelza vp?lilikuwa swali gumu sana na alibaki mdomo...
Mbunge Ismail Aden Rage amepigwa faini ya sh.100000 na kamati ya maadili ya uchaguzi mdogo wa Igunga.Msemaji wa kamati hiyo bwana Protas Magayane amesema faini hii ni kutokana na Rage kupanda...
Sijawahi kusikia maajabu kama haya yanayotokea tanzania, kuna balozi alikutwa na shahada za kupigia kura zaidi ya arobani alafu mimtu iliyopewa dhamana inasema sio kosa!nakumbuka mwaka jana kuna...
Maendeleo
"ili tuendeleee tunahitaji vitu vinne watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora.
Tanzania tunakosa nini hapa? Watu, hapana. Siasa safi, hapana na UONGOZI BORA sidhani. Wana JF hebu...
Dr Shein amuapisha shekhe Kabhi kuwa Muft mkuu Zanzibar.Written by 27/09/2011
Na Talib Ussi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein leo amewaapisha...