Siku ya Kufa...!

Museven

JF-Expert Member
Aug 22, 2011
482
169
Nawapenda nyote wanaJf! Hebu tutumie "our power of imagination": Hivi maisha yangekuwaje kama kila mmoja wetu angekuwa anaijua siku na saa atakayokufa?
 

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,177
3,326
Kuna hekima kubwa sana katika kuificha siku ya kufa maana dunia ingejaa vituko zaidi ya hapa. Anyway kwa mimi kujua siku ya kufa hainisaidii sana ila kinachoniumiza ni maisha baada ya kifo. Quaran inasema MwenyeziMungu hakutuumba ili tuje tufanye mchezo bali kumuabudu, bible nayo ikakoleza itamfaa nini mtu ikiwa ataupata ulimwengu wote na kisha kiwiliwili chake kikaenda katika moto wa jahanamu? Swali hili linanipa maswali mengi kama je NI KWELI NAFSI YANGU INAFANYA YAMPENDEZEYO MUNGU kiasi ambacho nikiambiwa nife leo nipo tayari na kunipinguzia hofu ya kifo?
 

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,169
2,996
Wajameni! Mwenye kumbukumbu na baadhi ya nyimbo ya yule marehemu Remmy Ongala aliyekuwa gwigi wa miziki enzi yake naona alimalizaga TOPIC hii na namwona Mzee wa Rula kakoleza.
 

IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,337
6,882
Mmmmh!! I can't imagine...

Yeah man!..its beyond our imagination mkuu but one thing to note is'the distance between you and your God is the same as between you and yourself'
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom