Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni kama vile imekuwa vyombo hivi ni sehemu ya ccm campaign team,kwani tunachoshuhudia katika taarifa zote za habari tangu kuanza kwa kampeni huko igunga ni upendeleo wa wazi katika utoaji (habari...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
jamani jamani sasa imekuwa ni kero hapa tz sijui ni aina gani ya wizi tena nmb unalipia 1000 a.k.a buku kutuma pesa imekaajee hii jamani nijulisheni mbona benk zingine sijaona ref:nmb mtwara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakielezea mafanikio waliyoyapata toka mwaka 2005 hadi leo Madaktari wakijerumani: kwao ujerumani alizaliwa mtoto asiye na macho wala asiyeza kuskia, lakini kwa juhudi zao huyo mtoto leo hii ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
EWURA ambao ni mamlaka inayotambulika kisheria waliamua kuifungia kampun ya BP kwa sababu ya kugoma kuuza mafuta,,,,,hatimae jana BP wameiomba radhi EWURA kwa kosa walilolifanya,na pia EWURA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana jamii forums naomba kwa anaejua kuhusu umeme unatokana na vinu vya nyukilia,maana nasikia kuwa huko ulaya hakuna tatizo la umeme yaani upo wa kumwaga,sasa nawaomba mnaejua sababu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niliposikia tambwe hiza na cheo chake cha uenezi na propaganda kimefutwa nilifikiri jamaa wameliona tatizo na wamejitahidi kulitpatia dawa ya kulituliza kumbe walibadilisha majukumu hayo na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna tatizo kubwa ambalo linaendelea na kufumbiwa macho. Wachina wanakuja na sera rasmi ya kutafuta kazi na masoko na bidhaa zao. Watanzania...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimetumiwa kitu kutumia USPS, lakini nimewahi kutumiwa vitu huko nyuma na havikufika. Nimetumia tracking system ya USPS inaonyesha mzigo wangu uko in transit. Nimejaribu kupiga simu ya posta...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mnaokumbuka sakata la Hans Kitine kuhusu madai ya hongo ile mwaka 2002 lilipigwa msumari na Bernard Membe alivyotos ushahidi mzito wa jinsi Kitine alivyohusika na madai yale. Baada ya wiki moja...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Utaratibu uliotolewa na bodi ya mikopo mwaka huu umehisiwa kuleta mifarakano katika familia baada ya familia kadhaa kushangilia baada ya kuona watoto wao wamepata mfano 2,500,000 ambayo kwao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kila uchao kuna mapya kuhusu sakata la DC Igunga na Chadema. Hadi sasa Bakwata washalaani huyo mama kuvuliwa Hijab lakini Chadema kupitia Tundu lisu wakadai si kweli,yule mama hakuvaa hijab,yani...
0 Reactions
49 Replies
11K Views
Rais Paul Kagame wa Rwanda, ambaye amekuwa akisifiwa kwa uongozi thabiti na kuiendesha nchi vizuri kuliko Tanzania, sasa inaelekea ameanza kulewa sifa baada ya kufanya vituko huko New York...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Govt Dept Marekani imeingia kwenye maji moto baada ya kulipa $16 kwa muffin moja. Huu ndio ule ufisadi kwenye wizara zetu wa chai na maandazi. Only if we had good media!! US justice department...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Mara nyingi nikimwona Katibu mkuu wa CCM kwenye TV huwa nabadilisha chaneli mara moja kwani huwa sielewi kama anahutubia,anagombana, ni majigambo, mahubiri au amekuja pale kuchekesha kama wajukuu...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Tunajua sote serikali ni pamoja na Polisi. Leo asubuhi makutano ya barabara ya AH Mwinyi na barabara ya Rose Garden nimeikuta "Serikali" imekwenda usingizi , tena mzito hata wapita njia walikuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MICHAEL SATA Taarifa zilizotufikia punde zinasema hali ya mpaka wa kuingia zambia imekuwa chafu na serikali kulazimika kufunga mpaka, baada ya wafuasi wa kiongozi wa chama cha upinzani MICHAEL...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Uchaguzi mdogo jimbo la igunga umenifungua macho na masikio na kuweza kutambua uelewa wa baadhi yetu, sijui kama ni makusudi au hisia tumeamua kuweka akili zetu pembeni. DC alituhumiwa na CHADEMA...
2 Reactions
56 Replies
5K Views
  • Closed
Nimefarijika sana na matokeo yanayoendelea kutolewa zambia UPF inayoongozwa na Mr Sata inaongoza kwa mbali sana,sasa tuone hayo majizi yanayofanana na ccm watafanya nini,je watatangaza mshindi au...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
  • Closed
Mufti: Waislamu acheni kulalama, tafuteni elimu Na Faida Muyomba, Geita MUFTI wa Tanzania, Shekhe Mkuu Issa Shaban bin Simba amewataka waumini wa dini ya kiislamu nchini waache kubweteka...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Zimesalia takribani siku 9 ambapo wananchi wa jimbo la igunga watakwenda kumchagua kiongozi ambaye wanadhani atawaletea maendele kutokana na sera zao.ni dhahiri kuwa cdm imepania kulichukua jimbo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom