Eti kukutwa na shahada 44 za watu si kosa!

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Sijawahi kusikia maajabu kama haya yanayotokea tanzania, kuna balozi alikutwa na shahada za kupigia kura zaidi ya arobani alafu mimtu iliyopewa dhamana inasema sio kosa!nakumbuka mwaka jana kuna mtu alikutwa na tiketi za mpira 10 kati ya brazil na taifa stars, jamaa alibebwa kama mbwa na kosomezwa rumande kwa kosa hilo, leo almost the same thing but different place inasemekana sio kosa, je balozi ni custodian wa wana igunga??au mnadhani hatujui ukweli!
 
Na mm nashangaa! Hivi kitambulisho si mali ya mpiga kura sasa inakuaje mtu mwingine aruhusiwe kuzihifadhi? Akiitumia kugushi nani wakulaumiwa kama sio polisi walioruhusu! Ni aibu kwa kuwa aliyefanya ni mtu wao sheria haiapply? Shame on this gvt of criminals. One day they will pay for what they have done against this country.
 
CCM wapo magharibi kisiasa. Ni kama Ariel Sharon, kinachowafanya bado wa wepo ni mashine ya kupumulia ikitolewa tu tunaimba Laillah Ilalah!
 
Back
Top Bottom