SISIEMU je imekosa mweleko? By Kolimba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SISIEMU je imekosa mweleko? By Kolimba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mshiiri, May 22, 2009.

 1. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Hivi kweli sisiemu bado ina mwelekeo au imekosa mwelekeo? Kama imekosa mwelekeo basi Kolimba yawezekana alikuwa mtume.
   
 2. M

  Mtarajiwa JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 440
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe kwani unaionaje?
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Ilishakosa mwelekeo tangu azimio la zanzibar....
   
 4. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Tukiangalia kwa mapana tutagundua kuwa ambao hawajawahi kuwa na mwelekeo ni sisi watanzania kwa ujumla wetu. Hii ni kwa sababu, tuliwahi kufanya nini kuionyesha ccm kuwa imepoteza mwelekeo? Wapo Watanzania wachache (mmoja mmoja) ambao wamejaribu kutuhamasisha watanzania ile tuelewe nini na tuutafute mwelekeo wetu, lakini tumeendelea kuamini kuwa bila CCM hakuna kiongozi! Sasa unategemea hao ccm wafanye nini, zaidi ya kuwaandaa watato wao, wapenzi wao na wajukuu wao kurithi mikoba yao!

  Mimi nadhani, tukibadilika Watanzania ndipo tutakapoweza kufahamu kama ccm imekosa mwelekeo au la! na wakati tukijiuliza swali hilo watakuwa hawatawali tena.
   
 5. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Kwa sababu naona kila kukicha hakuna jipya. Stagnant! Ujinga, maradhi na umaskini unaongezeka. Niambie nawe unaonaje?
   
 6. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  I think the other parties have no direction. This is my findings?
   
Loading...