Mbeya nako....!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,025
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia(FFU) bwana Meshack Urasa amefariki baada ya kupigwa nondo kichwani na vibaka mjini Mbeya.
 
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia(FFU) bwana Meshack Urasa amefariki baada ya kupigwa nondo kichwani na vibaka mjini Mbeya.

Kwa hali iliyopo mbeya inatisha, hizi imani za kishirikina kuendelea kuumiza watu wasionahatia, ni kielelezo kuwa pamoja na madhehebu kuwa mengi kwa mbeya mjini, ukilinganisha na mahala pengine popote kwa tanzania, wachungaji wameshindwa kazi au la wachungaji wetu ?????? kiulizo kikubwa???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom