Taharuki KIVUKO cha kigamboni feri chataka kupinduka mida hii!


Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified User
Joined
Dec 22, 2010
Messages
16,524
Likes
4,902
Points
280
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified User
Joined Dec 22, 2010
16,524 4,902 280
Tukiwa katikati ya kivuko kidogo yameibuka mawimbi ya ajabu na kukaribia kumwaga abiria vikatokea vilio na taharuki
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,245
Likes
4,664
Points
280
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,245 4,664 280
Tukiwa katikati ya kivuko kidogo yameibuka mawimbi ya ajabu na kukaribia kumwaga abiria vikatokea vilio na taharuki
Itakuwa mara yako ya kwanza kupanda Feri wewe, umezoe mabasi ya kwenda Moshi
 
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Messages
7,162
Likes
1,465
Points
280
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2009
7,162 1,465 280
hakuna lolote nadhani hofu ya mv spice haijawaisha bado.
 
Edson

Edson

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2009
Messages
9,248
Likes
783
Points
280
Edson

Edson

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2009
9,248 783 280
hivi hao manahodha wamesoma kweli? kwani hawajui madhara ya boti/fery/meli kupishana kwa karibu?.huwa kuna distance maalumu ......kuna siku pale watakufa watu ........
 
Obe

Obe

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2007
Messages
7,552
Likes
25,432
Points
280
Obe

Obe

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2007
7,552 25,432 280
Itakuwa mara yako ya kwanza kupanda Feri wewe, umezoe mabasi ya kwenda Moshi
Hata kama ni mara yake kupanda panton hii, Nafikiri kuna vitu unachanganya na kwa mtumiaji wa kivuko hiki kila siku hatoshangaa taarifa iliyotolewa na mdau Jason, ipo ile boti KilimanjaroII kila inapopita huacha wimbi kubwa na kwa panton kama kivukoni basi husukwa sana.
 
Wambandwa

Wambandwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2006
Messages
2,255
Likes
384
Points
180
Wambandwa

Wambandwa

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2006
2,255 384 180
Itakuwa mara yako ya kwanza kupanda Feri wewe, umezoe mabasi ya kwenda Moshi
You're always a loon! Watu wanatoa ripoti ya feri kupata msukosuko wewe unaleta masihara, huu ni ushenzi!
 
mchemsho

mchemsho

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Messages
3,160
Likes
146
Points
160
mchemsho

mchemsho

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2011
3,160 146 160
Nilikuwa ndo nimevuka toka kigamboni, tulichelewa kidogo kupisha meli kubwa ya makontena ipite, nafkiri ilikuwa kabla ya hapo..
 
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified User
Joined
Dec 22, 2010
Messages
16,524
Likes
4,902
Points
280
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified User
Joined Dec 22, 2010
16,524 4,902 280
Hata kama ni mara yake kupanda panton hii, Nafikiri kuna vitu unachanganya na kwa mtumiaji wa kivuko hiki kila siku hatoshangaa taarifa iliyotolewa na mdau Jason, ipo ile boti KilimanjaroII kila inapopita huacha wimbi kubwa na kwa panton kama kivukoni basi husukwa sana.
Nikweli bwana mweleze huyu mkuu ananipa uraia wa moshi wakati mie mzaramo kabisaa!
 
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
26,823
Likes
14,330
Points
280
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
26,823 14,330 280
Pole!!!mie mwoga sana
na hivi ninakumbuka
spice islandes ningeruka
 
W

WATANABE

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
1,091
Likes
43
Points
135
Age
58
W

WATANABE

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
1,091 43 135
KIVUKO cha kigamboni feri ilisababishwa na boti ndogoo kupita kwa kasi na kuleta mawimbi mazito!
Ulifikiri katika feri trafiki husafiha njia kama wanavyowafanyia katika msafara ya mkulu?
 

Forum statistics

Threads 1,215,264
Members 463,075
Posts 28,541,227