Elewa kyra yako ndio mustakabali wa maisha yako

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,786
1,633
Ndugu zng wana IGUNGA kutokana na kashfa za wizi wa fedha za umma zinazomkabili aliyekua mbunge wenu R.A (CCM) na kumpelekea kujiuzulu,ss zimebaki siku chache mpige kura kumchagua kiongozi wn mpya. nawasihi sn wana Igunga mumchague KIONGOZI MWENYE UWEZO WA KUONGOZA NA ALIYE KWENYE CHAMA MAKINI chenye nia ya dhati ya kutuletea waTz maendeleo. Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi, MADINI, MITO, MAZIWA MAKUBWA, MBUGA KUBWA ZA WANYAMA, ML. MREFU AFRIKA, lkn mpaka sasa tunapotimiza miaka 50 ya uhuru bado kuna waTz wengi sana wakiwemo wana IGUNGA HAWANA UHAKIKA WA KUPATA HT MLO M1 KWA SIKU hk wakiishi kwenye NYUMBA ZA MBAVU ZA MBWA, taifa linakabiliwa na tatizo la UMEME, MAJI SAFI,MIUNDOMBINU MIBOVU, NJAA NK. Huku viongozi wa ccm akiwemo RA wakijilimbilikizia mali na kuwadhihaki waTz kwa kusema WAMETHUBUTU kutuibia, WAMEWEZA kutuibia NA WANASONGA MBELE. ELEWA KUWA CCM NA CUF nia yao ni 1 KUWANYONYA WATZ na ndo mana wakajiunga. JÁ Usirudie kosa CHAGUA CHADEMA Kwa maendeleo ya TANZANIA. MUNGU IBARIKI TZ
 

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,516
11,824
Ccm kuwatoa kwa kupiga kura ni ngumu!njia ya kutumia nguvu ndio suluhisho
 

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
namuunga mkono mleta mada kuwa walifanya makosa makubwa sn kumchagua fisadi R.A aendelee kuwanyonya huku yy na familia yk wakiish kwa starehe wkt wao wananukia shida, kama wana igunga wanapenda maendeleo wanapaswa kuachana na siasa za wachumia tumbo za cuf na ccm wachague chadema, wasidanganywe na siasa za udini wanazofanya ccm kwa kumpandikiza DC na kuwatumia viongozi wa dini uislam kuwahamasisha waumin wasichague cdm, mkichagua ccm au cuf mtambue kuwa mtaendelea kunyonywa karne hd karne. Shauri yenu km hamskii
 

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,786
1,633
opoturnity never come twice, wakifanya ujinga watajiju sisi tulioelimika na tusiodanganyika na propaganda za magamba2nasonga mbele daima.
 

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,211
8,677
If you let this moment slip away....expect less changes in your life.
If you let this moment slip away....you are gone and you will have no one to cry to.
If you let this moment slip away....the Zambians are going to laugh @you forever!
 

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,786
1,633
if you let this moment slip away....expect less changes in your life. If you let this moment slip away....you are gone and you will have no one to cry to. If you let this moment slip away....the zambians are going to laugh @you forever!
exactly
 

Big man

Senior Member
Sep 21, 2011
128
14
wakuu mi mwenyewe ni 1 kati ya mashabiki wa cdm lkn sii kama alivyo huyu jamaa anajíita (bongo ll) huyu jamaa ana sema cdm i2mie nguvu kuiondoa magamba madarakani, mi napinga enyi wana igunga kura yako ndo itakayo kufanya uliondoe gamba madakani na uanze kula kwa mrija kama vile wana moshi, hai, rm, ar,na wililaya zingine zote zilizo shikwa na cdm , wilaya yenu inajiweza mnaweza kukaa hapohapo bila kutoka na kwenda kutafuta maisha mikoa mingine lkn bahati hiyo hamjawahi kupata wana igunga. Angalieni kura zenu ndo hakizenu msidanganywe na buku2 na tst na kofia afu mna weka maisha yenu ya badae hatarini msidanganyike kueni wajanja, achaneni na magamba wanaweka ma2mbo yao2 mbele nakusain mikataba feki wakisha shiba wao bc hawawaangalii walio wachagua, kueni makini na msitafute haki kwa kumwagadamu 7bu kesho watajittea na2taonekana wabaya, kua makini nakura yako,
 

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
wakuu mi mwenyewe ni 1 kati ya mashabiki wa cdm lkn sii kama alivyo huyu jamaa anajÃ*ita (bongo ll) huyu jamaa ana sema cdm i2mie nguvu kuiondoa magamba madarakani, mi napinga enyi wana igunga kura yako ndo itakayo kufanya uliondoe gamba madakani na uanze kula kwa mrija kama vile wana moshi, hai, rm, ar,na wililaya zingine zote zilizo shikwa na cdm , wilaya yenu inajiweza mnaweza kukaa hapohapo bila kutoka na kwenda kutafuta maisha mikoa mingine lkn bahati hiyo hamjawahi kupata wana igunga. Angalieni kura zenu ndo hakizenu msidanganywe na buku2 na tst na kofia afu mna weka maisha yenu ya badae hatarini msidanganyike kueni wajanja, achaneni na magamba wanaweka ma2mbo yao2 mbele nakusain mikataba feki wakisha shiba wao bc hawawaangalii walio wachagua, kueni makini na msitafute haki kwa kumwagadamu 7bu kesho watajittea na2taonekana wabaya, kua makini nakura yako,
big up
 

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
eti MAKUFULI anaapa kwa jina la MWENYEZ MUNGU mbele ya wana igunga kuwa wakimchagua mgombea wa ccm atawajengea madaraja ma2, hivi kujengewa madaraja ni wajibu wa serikali au ni malipo ya kura? Na inamana isiposhinda ccm madaraja hayatajengwa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom