Taasisi hizi ndizo zinazotuangamiza Watanzania

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,735
1,195
TFDA,TBS,TAKUKURU NA TRA
moja ya haabari kubwa za leo ni suala la kuingia sokoni kwa dawa za aina 5 za bandia,,,,niliposikia kuwa zipo sokon nikashtuka,na nikajiuliza zimeingiaje????kama waliogundua wamegundua zikiwa sokon je hazijanunuliwa????taasis nilizozitaja zinahusika kwa asilimia miamoja zilikua wapi?????MKEMIA MKUU UNAFANYA NN????watanzania tunaangamizwa na mengi,,,ukiacha mgao na matatizo yake ila hawa nao ni wauaji kama mafisad
endelea kuzitaja nyingine
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,788
9,115
Mi naona taasisi zote tu zinatuangamiza.
Ni taasisi ipi ambayo haina mapungufu! Ni wapi ambapo tunapata huduma za uhakika?!
 
Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,735
1,195
Mmmh,ila kweli;lakin nahisi kurugenz ya ,mawasiliano -Ikulu wanafanya kazi vizuri,maana wanajitahid sana kujibu kwa MIPASHO,nadhan ndo kazi yao
Mi naona taasisi zote tu zinatuangamiza.
Ni taasisi ipi ambayo haina mapungufu! Ni wapi ambapo tunapata huduma za uhakika?!
 
Kampini

Senior Member
Jul 15, 2011
140
28
Watanzania wote ni popopompo!wenzetu Misri wameweza,Malawi wametikisa siye kila mahala afadhali ya ndoa ndoano. Mwakani najitoa mhanga mambo yasipobadirika.
 
Mbugi

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,489
256
Na ikulu pia umesahau mzee.

Nafikiri umesahau hata WEWE na wengine wote wenye mrengo wa kulaumu na kuamini macho na mitizamo yao kuwa sahihi na hatimaye kutotoa nafasi kwa wengine kujieleza. swala la madawa bandia kuingizwa nchini ni vema kabla ya kuhukumu tukatumia jukwa hili kupeana elimu ya namna mchakato ulivyo katika kuagiza dawa hizo, na tukapata nafasi ya kujua idara husika na zoezi la uangalizi.
 
Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,735
1,195
Toa elim mdau
Nafikiri umesahau hata WEWE na wengine wote wenye mrengo wa kulaumu na kuamini macho na mitizamo yao kuwa sahihi na hatimaye kutotoa nafasi kwa wengine kujieleza. swala la madawa bandia kuingizwa nchini ni vema kabla ya kuhukumu tukatumia jukwa hili kupeana elimu ya namna mchakato ulivyo katika kuagiza dawa hizo, na tukapata nafasi ya kujua idara husika na zoezi la uangalizi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom