TANESCO vision statement

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,988
1,291
Nipo kwenye ofisi za Tanesco wilaya ya Temeke. Nimeona maandishi mengi sana kwenye vioo vya upande wakulipia ila kilichonivutia zaidi ni mambo mawili. 1. Masaa ya kazi kitengo cha dharura wameandika (Masaa 24 siku zote za wiki) na 2. Statment of the company napo wameandika (To be an effient and commercially focused utility supporting the development of Tanzania and to be the power house of East Africa)
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom