More land grab in Tanzania

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
526
219
Kuna habari kuwa kuna kampuni moja ya India inaitwa Karuturi imekamilisha mchakato wa kununua asilimia moja ya ardhi ya Tanzania kufanya shughuri za kilimo.Hii habari kutoka katika gazeti la the Times la uingereza.Wenye data zaidi kuhusu hili deal watoe hapa.Tutavumilia mpaka lini ufisadi huu wa CCM?
 

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,701
1,381
Umeleta habari huna data sasa tuchangie nini ? kajipange upya rudi asubuhi na link ya habari tujadili.
 

King’asti

Platinum Member
Nov 26, 2009
27,800
24,544
acha wa-grab,sie tunanunua hatua 20 kwa 15 boko. sasa hivi ukimuambia kijana hapa kuna shamba linauzwa kisarawe hana hata habari,anataka along bagamoyo road. hata ukisema tu mlandizi,na ekari moja ni laki 2 bado tunawaza kupata ki-plot cha kujenga kibanda. wanunue,wana kazi na hiyo ardhi! ndugu zetu watapata vibarua vya kupalilia,wakianzisha day care mama zetu watapata vibarua vya kulea watoto wetu! si ndo mpango wa kuongeza ajira!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom