Tanzania hii ukiwa na akili timamu utakufa siku si zako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania hii ukiwa na akili timamu utakufa siku si zako

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wagagagigikoko, Sep 28, 2011.

 1. wagagagigikoko

  wagagagigikoko Senior Member

  #1
  Sep 28, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=6]tanganyika nchi yangu nzuri wamekugeuza shamba la bibi nilikuwa chunya wiki jana wageni wanajibebea dhahabu kama zao bila usimamizi wowote.....wachina waliokuwa wanatengeneza barabara wameondoka na zana zao kwenda malawi baada ya serikali kushindwa kuwalipa aibu!!!!![/h]mwaka jana waliongopa kutengeneza barabara mwaka huu kila kona wakandarasi wanaondoka na vifaa vyao kwa kushindwa kulipwa na serikali yetu ya kisanii

  tembeleeni chunya na nyinyi muone vioja vya serikali yenu ya kisanii
   
Loading...