Tuigawane ardhi ya nchi yetu ili kila mtu afe na chake.

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Ikiwa watu wote ni sawa, basi tugawane ardhi ya nchi yetu ili kila mtu afe na kipande chake. Kilomita za mraba nchi nzima zinafika 945,087, Ukiamua kuzigawa kwa watu mil 40 kwa mfano. Kila mtu atapata mita za mraba 23.6. Japo ni kipande kidogo ni bora kitaandika historia ya kumiliki ardhi kuliko kukosa kabisa. Potelea mbali, kabla Bush hajaanza kuleta wana na wajukuu zake.
 
Bush Bush Bush!!!! acheni kugongesha vichwa mara 5 kwa siku mnadhulu bongo zenu
 
ndugu yangu ikiwa dawa, elimu na vyenginvyo vyote unavipata kwa taabu wakati wao huenda mpaka nje kutibiwa na kuisoma. hivi hata kama hii ardhi itaamulika igawanywe kwa wananchi na wewe hivi unajiisabu kweli hata utapata???? sijui labda mwenzangu ni mtoto wa fisadi.
 
Maeneo mangapi Tanzania ni mapori mmeshindwa kuyaendeleza, kazi mnakaa kijiweni na kuanza kulalamika. Mtaishia kulalamika na siku zinasonga.
 
Back
Top Bottom